• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuhakikisha mazao ya nafaka yanazidi tani milioni 600 mwakani

    (GMT+08:00) 2018-12-31 09:22:06

    Waziri wa kilimo na mambo ya vijijini wa China Bw. Han Changfu jana alisema, mwaka 2019 China itazalisha tani zisizopungua milioni 600 za nafaka, na kudumisha hekta milioni 110 za mashamba ya kilimo. Amesema China itaimarisha sera ya kuunga mkono shughuli za kilimo, na juhudi za kukabiliana na maafa na wadudu, ili kuhakikisha uzalishaji wa nafaka. Mwaka huu, China imepata mavuno mazuri tena, na uzalishaji wa nafaka umefikia tani milioni 657.9.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako