• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi kuhudhuria Mkutano wa kuadhimisha Maadhimisho ya miaka 40 tangu Taarifa iliyotumiwa na serikali ya China kwa ndugu wa Taiwan itangazwe

    (GMT+08:00) 2018-12-31 18:27:00
    Rais Xi Jinping anatarajiwa kuhudhuria mkutano wa Maadhimisho ya miaka 40 tangu itolewe taarifa iliyotumiwa na serikali, na mashirika ya serikali mbalimbali likiwemo bunge la umma la China kwa ndugu wa Taiwan, utakaofanyika Jumatano asubuhi mjini Beijing.
    Rais Xi ambaye pia ni katibu mkuu wa kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China, na mwenyekiti wa kamati kuu ya kijeshi, atahubia mkutano huo utakapofanyika saa nne asubuhi siku hiyo.
    Tukio hilo litarushwa moja kwa moja na vyombo mbalimbali vya habari nchini China.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako