• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Mauzo ya magari mapya yaongezeka nchini Kenya

  (GMT+08:00) 2018-12-31 18:45:30

  Mauzo ya magari mapya nchini Kenya mwaka 2018 yalifikia 14,000 huo ukiwa ni ukuaji wa asilimia 20 ikilinganishwa na mwaka 2017.

  Taakwimu kutoka kwa chama cha sekta ya magari nchini humo zinaonyesha kuwa kampuni za Isuzu East Africa, Toyota Kenya na Simba Colt ziliuza magarari 13,223 kati ya Januari na Novemba 2018.

  Hilo ni ongezeko la asilimia 19.7 ikilinganishwa na magari 11,044 yaliouzwa mwaka 2017.

  Mwenyekiti wa chama hicho Rita Kavashe, anasema wanatarajia mauzo ya mwaka 2019 yataongezeka kwa asilimia 10.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako