• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya Railways kupunguza mabehewa ya abiria baada ya likizo

    (GMT+08:00) 2019-01-01 18:18:46

    Idadi ya mabehewa kwenye reli mpya kisasa ya SGR Madaraka Express kutoka Nairobi hadi Mombasa inatarajiwa kupunguwa baada ya msimu wa sikuku ya krismasi na sherehe za mwaka mpya. Shirika la Reli la Kenya linasema kwamba mabehewa yatapunguwa kutoka 14 hadi kuanzia kesho, Jumatano. Kwa sasa, gari moshi linabeba abiria 1,062 katika kitengo cha daraja la pili, na abiria 138 katika kitengo cha daraja la kwanza. Magari ya moshi yamekuwa yakisafiri kila siku kutoka Nrb hadi Msa, na Msa hadi Nrb kila siku kwa kutumia saa nne unusu kila siku. Nauli ya abiria wa daraja la pili ni shilingi 1000 nao wa daraja la kwanza hulipa shilingi 3000. Nauli hizi ni kutoka Nairobi hadi Mombasa na Mombasa hadi Nairobi.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako