• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ni maduka 109 pekee ya ubadilishaji fedha yana leseni.

  (GMT+08:00) 2019-01-01 18:19:43
  Kufuatia agizo kali la serikali ya Tanzania la kufunga biashara haramu ya ubadilishaji sarafu, sasa imebainika wazi kwamba ni 109 kati ya 297 ambao wamesajiliwa na kupewa leseni halali ya kuendesha biashara hiyo. Waziri wa mipango na fedha Bwana Philip Mpango anasema kwamba wale ambao hawajasajiliwa upya na kutimiza matakwa ya serikali, watapigwa marufuku kutoendesha biashara hii ya ubadilishaji pesa. Waziri aliyasema haya alipokuwa akiwakilisha ripoti ya ya nusu ya mwaka wa bajeti ya 2018/2019. Serikali ya Tanzania kupitia Benki kuu ya Tanzania, imejitolea kuhakikisha kwamba biashara haramu ya ubadilishaji pesa hailemazi uchumi wa taifa hilo.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako