• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uchumi wa Zimbabwe unaimarika

  (GMT+08:00) 2019-01-01 18:20:21
  Makamu wa rais wa kwanza wa Zimbabwe Constantino Chiwenga, amesema kwamba uchumi wa taifa hilo utakuwa sawa licha ya hali ngumu iliyopo kwa sasa. Chiwenga amekiri kwamba masaibu yanayoikumba Zimbabwe kwa sasa yataisha hivi karibuni. Amewasifia Wazimbabwe kuwa wachapa kazi na kuwataka kuendele avivyo hivyo. Aidha, makamu huyu wa rais wa kwanza amewasuta viongozi walaghai nan a wahubiri matapeli wanaowapora raia kukoma mara moja.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako