• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wakulima walalamikia hatua ya serikali ya kusajili mbegu

  (GMT+08:00) 2019-01-01 18:20:39
  Wakulima kutoka Uganda wamelalamikia vikali hatua ya serikali ya kitaifa ya kusajili mbegu zote zinazozalishwa humo nchini. Wakulima hao wanasema kwamba, masharti yaliyowekwa na serikali ni makali na hivyo yatawafungia wengi wao nje ya biashara. Kulingana na wakulima, mbegu za mazoa tofauti tofauti zinapandwa maeneo mengi ambayo yanatofautiana katika maswala ya hali ya hewa, mchanga na topografia. Hivyo basi, agizo la serikali la kutaka mbegu zote kuwa sawa, haliwezekani.
  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako