• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaadhimisha miaka 40 tangu itoe "Taarifa kwa Ndugu wa Taiwan"

    (GMT+08:00) 2019-01-02 10:50:43

    Maadhimisho ya miaka 40 tangu China itoe "Taarifa kwa Ndugu wa Taiwan" yamefanyika hapa Beijing. Rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba kuhusu "kufanya juhudi za pamoja kwa ajili ya kutimiza ustawi wa taifa, na kuhimiza umoja kwa njia ya amani".

    Wajumbe karibu 600 kutoka Chama cha Kikomunisti cha China, serikali, vyama mbalimbali vya kidemokrasia, shirikisho la viwanda na biashara, Taiwan, na majeshi wamehudhuria maadhimisho hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako