• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yachangia asilimia 22.5 kwa ongezeko la uagizaji wa bidhaa duniani

    (GMT+08:00) 2019-01-02 17:23:37

    Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na Chuo kikuu cha ualimu cha Beijing kuhusu maendeleo ya uagizaji wa bidhaa kutoka nje nchini China mwaka 2018 inaonesha kuwa, kuanzia mwaka 2012 hadi 2017, uagizaji wa bidhaa kutoka nje wa China umechangia asilimia 22.5 kwa ongezeko la uagizaji wa bidhaa duniani.

    Ripoti hiyo inasema, tangu China ilipoanza kutekeleza sera ya mageuzi na ufunguaji mlango , uagizaji bidhaa wa China kutoka nchi mbalimbali umeongezeka kwa hatua madhubuti , hasa baada ya mwaka 2001 China ilipojiunga na shirika la biashara duniani WTO, thamani ya uagizaji wa bidhaa wa China imeongezeka kwa kasi. Thamani hiyo ilifikia dola za kimarekani trilioni 1.8 mwaka 2017 kutoka dola za kimarekani bilioni 10.9 za mwaka 1978, hili ni ongezeko la mara 169.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako