• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yatoa wito kwa Korea Kaskazini na Marekani kushirikiana kuondoa silaha za nyuklia katika Peninsula ya Korea

    (GMT+08:00) 2019-01-03 12:31:35

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Bw. Lu Kang amesema China inatoa wito kwa Korea Kaskazini na Marekani kuheshimu na kufuatilia matakwa ya upande mwingine, ili kutafuta maendeleo katika kuondoa silaha za nyuklia na kuanzisha utaratibu wa amani katika Peninsula ya Korea mwaka huu. Bw. Lu amesema China inaunga mkono mazungumzo zaidi kati ya Korea Kaskazini na Marekani na kutarajia yatapata mafanikio. Katika hotuba yake mwaka mpya, kiongozi mkuu wa Korea Kaskazini Bw. Kim Jong Un amesema atahimiza zaidi uondoaji wa silaha za nyuklia katika Peninsula ya Korea na yuko tayari kukutana na rais Donald Trump wa Marekani wakati wowote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako