• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yapenda kushirikiana na Misri kuchangia amani na maendeleo barani Afrika

    (GMT+08:00) 2019-01-03 18:57:15

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje Bw. Lu Kang amesema kuwa China inatilia maanani uhusiano kati yake na Umoja wa Afrika, na inapenda kuimarisha mawasiliano na uratibu na Misri na kufanya jitihada za pamoja kwa amani na maendeleo ya Afrika. Balozi wa Misri nchini China Bw. Mohamed Osama Taha Al Majdoub amesema kuwa China na Misri zitaimarisha ushirikiano wakati wa Misri kuwa mwenyekiti wa zamu wa Umoja wa Afrika na kufanya ushirikiano katika masuala zinazoyafuatilia kwa pamoja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako