• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rwanda: MTN yapata ongezeko la matumizi ya intaneti

  (GMT+08:00) 2019-01-03 19:43:47

  Kampuni ya kutoa huduna za simu MTN Rwanda,ambayo ndio kubwa nchini humo imeripoti ukuaji wa asilimia 25 katika utumiaji wa intaneti.

  Ripoti ya kampuni hiyo inaonyesha kuwa kuna ukuaji mara tatu wa hadi gigabiytes milioni 14.5 ikilinganishwa na gigabytes milioni 5.7 mwaka 2017.

  Mkurungezi wa MTN Rwanda bwana Bart Hofker, amesema kampuni hiyo iliwekeza franc bilioni 22 katika upanuzi wa huduma za mtandao mwaka 2018.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako