• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda: Mfumko wa bidhaa wapungua Uganda

  (GMT+08:00) 2019-01-03 19:45:24

  Mfumko wa bei nchini Uganda ulisalia kwenye wastani wa asilimi 2.6 ndani ya miezi 12 iliopita.

  Kituo cha taakwimu nchini humo kinasema hali zuri ya hali ya anga na mavuno ya kutosha yalisaidia kuthibiti mfumko.

  Akitoa ripoti ya bei za bidhaa za ununuaji ya mwaka 2018 mkurungezi wa taakwimu kwenye kituo hicho bwana Chris Mukiza amesema kulikuwa na ongezeko la chakula sokoni na hivyo kuzuia kupanda kwa bei.

  Mwaka 2017 mfumko wa bei nchini humo ulifikia asilimia 5.6.

  Ametaja bidhaa za kilimo ambazo zilikuwa na bei ya chini kama vile viazi, nyanya, unga wa mahindi na sukari.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako