• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Wadau wa ujenzi wa nyumba Kenya waomba kutengewa asilimia 60 ya kandarasi

  (GMT+08:00) 2019-01-03 19:46:34

  Wadau wa sekta ya ujenzi wa nyumba nchini Kenya wameitaka serikali kutenga asilimia 60 ya kandarasi za kujenga nyumba za bei nafuu kwao.

  Mkurungezi wa Chama cha Usanifu nchini Kenya Emma Miloyo amesema hatua hiyo itasaidia kufungua nafasi za ajira na pia kuongeza mahitaji ya mali ghafi za ujeni za ndani ya nchi.

  Mwaka 2017 rais Uhuru Kenyatta alitangaza ujenzi wa nyumba za bei nafuu kwenye maeneo ya mijini kama mojawepo wa ajenda zake kuu nne.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako