• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ligi kuu soka la ufukweni kuanza Februari

  (GMT+08:00) 2019-01-07 08:55:39
  Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeamua kuanzisha ligi kuu ya soka la ufukweni Tanzania Bara (BSL) inayotarajiwa kuanza Februari 9 hadi Aprili 14, mwaka huu.

  Ligi hiyo itakua inachezwa kwenye uwanja wa Coco Beach uliopo Oysterbay Jijini Dar es Salaam kila Jumamosi na Jumapili kuanzia saa 8 mchana mpaka 12 jioni.

  Taarifa ya afisa habari na mawasiliano wa TFF, Clifford Mario Ndimbo imesema kuelekea kwenye ligi hiyo shirikisho hilo limeanza kusajili klabu zenye sifa na vigezo kwa ajili ya kushiriki.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako