• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Karolina Pliskova ashinda ubingwa wa tennis wa Brisbane

  (GMT+08:00) 2019-01-07 09:00:10
  Karolina Pliskova wa Jamhuri ya Czech ameshinda taji la ubingwa wa mashindano ya tennis ya Brisbane nchini Australia baada ya kuibuka na ushindi kwenye mechi ya fainali iliyopigwa jana jumapili.

  Kwenye mechi ya fainali, Pliskova alimfunga Lesia Tsurenko wa Ukraine kwa seti ya mbili moja yenye alama 4-6 7-5 na 6-2

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako