• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uzalishaji na matumizi ya nishati nchini China yafikia kiwango cha juu zaidi kwa mwaka 2018

    (GMT+08:00) 2019-01-07 18:54:07

    Ukuaji wa uzalishaji na matumizi ya nishati ya umeme nchini China, ambavyo ni viashiria muhimu vya kiuchumi, unatarajiwa kufikia kiwango cha juu zaidi mwaka 2018.

    Gazeti la Economic information Daily limeripoti kuwa, kiwango cha uzalishaji wa umeme kwa mwaka jana kilifikia kilowatt bilioni 18.47 kwa saa, ikiongezeka kwa asilimia 8.52 ikilinganishwa na mwaka 2017, huku ongezeko la matumizi ya nishati yakikadiriwa kupita asilimia 8.

    Takwimu rasmi zimeonyesha kuwa uzalishaji na matumizi ya nishati nchini China ulipungua kwa miaka 10 iliyopita, lakini ulianza kuongezeka tena katika miaka ya karibuni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako