• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bayern Munich kumwadhibu mchezaji wake kwa kuwatusi mashabiki

  (GMT+08:00) 2019-01-08 09:39:30
  Mkurugenzi wa michezo wa klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani Hasan Salihamidzic amesema adhabu kali inatarajiwa kutolewa kwa mchezaji wa timu hiyo Franck Ribery kutokana na kitendo cha utovu wa nidhamu alipotoa lugha ya matusi kwenye kurasa zake wa Instagram na twitter.

  Januari 5, Ribery aliwatusi mashabiki waliotoa maoni yao kwenye moja ya picha alizoweka kwenye ukurasa huo inayomuonyesha akiwa kwenye mgahawa mmoja nchini Uturuki.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako