• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kinda wa Man City atua Real Madrid

  (GMT+08:00) 2019-01-08 09:40:04

  Klabu ya Manchester City inaendeleza sera yake ya kuwaruhusu vijana kujiendeleza. Tayari klabu hiyo imemruhusu mchezaji wake kinda Brahim Diaz kujiunga na mabingwa wa La Liga nchini Uhispania klabu ya Real Madrid mkataba utakaogharimu paundi 22 milioni.

  Umaarufu wa Diaz ulipanda wakati wa kombe la UEFA la vijana wasiozidi umri wa miaka 17 kule Azerbaijan wakati alipoifungia Uhispania magoli matatu na kuisadia kumaliza wa pili nyuma ya mabingwa Ureno baada ya kuishinda Uingereza katika robo fainali.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako