• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • East Africa: mbegu za ubora wa chini za athiri mapato ya kanda ya COMESA

    (GMT+08:00) 2019-01-08 20:22:49
    Upatikanaji wa mbegu zilizoboreshwa na wakulima zaidi ya milioni 80 katika mkoa wa Comesa bado umebakia kuwa chini asilimia 23.

    Hii imesababisha uzalishaji mdogo, sana sana kwa nafaka kama vile mahindi, matama na wimbi.

    Licha ya nchi za Comesa kuwa na ardhi nyingi za kilimo, eneo hilo bado linakabiliwa na uzalishaji wa chakula.

    Dkt; John Mukuka, mtaalam wa mbegu ya Comesa amesema Idadi ya watu katika nchi za Comesa inongezeka kwa asilimia 2.3 wakati uzalishaji wa chakula ulikuwa kwa asilimia 2, hali ambayo imeleta uhaba wa chakula kwa zaidi ya watu milioni 130 kutoka kwa watu milioni 600 katika kanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako