Hii itaathiri vibaya ukuaji wa mikopo katika sekta binafsi, hadi chini ya asilimia 4.15 kama benki wanapendelea dhamana ndogo za hatari.
Upungufu huo utaona pia fedha kidogo kwa makampuni madogo na sekta nyingine muhimu.
Lengo la kukopa kwa mwaka 2018/19 lilikuwa Sh trilioni 0.6 lakini serikali imekuwa nyuma ya malengo na Sh bilioni 20 kati ya Julai na Septemba 2018.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |