• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sekta ya utalii ilikua mwaka 2018, na mapato kuenda juu hadi asilimia 31.2

    (GMT+08:00) 2019-01-08 20:23:42
    Mwaka jana sekta ya utalii ilikua kwa asilimia 31.2 katika mapato.

    Kwa mujibu wa takwimu za hivi karibuni kutoka Wizara ya Utalii na Wanyamapori, mapato yalifikia Sh bilioni 157.38 mwaka 2018 kutoka Sh bilioni 119.0 mwaka uliopita, na sekta hiyo iliandikisha ukuaji wa asilimia 68 ya uingiaji wa wageni.

    Watalii wa kimataifa waliongezeka hadi milioni 2.025 kutoka milioni 1.46 mwaka wa 2017.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako