• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Marekani yaweka vikwazo dhidi ya watu na asasi nchini Venezuela

  (GMT+08:00) 2019-01-09 08:53:22

  Wizara ya Fedha ya Marekani imeweka vikwazo dhidi ya watu saba na asasi 23 nchini Venezuela. Taarifa iliyotolewa imesema watu na asasi hizo zimeshiriki kwenye njama ya ufisadi ya kutumia shughuli za ubadilishaji sarafu za serikali ya Venezuela, kujipatia dola za kimarekani zaidi ya bilioni 2.4. Taarifa pia imesema maofisa wa serikali ya Venezuela wanapora mabilioni ya dola kutoka nchi hiyo huku, watu wa Venezuela wakiishi maisha magumu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako