• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Michuano ya AFCON 2019 kuchezwa Misri

  (GMT+08:00) 2019-01-09 09:50:04

  Michuano ya kombe la mataifa ya Afrika 2019 (AFCON) itapigwa nchini Misri, kuanzia Juni 15 hadi Julai 13, bodi ya uongozi ya Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) imefikia uamuzi huo jana mjini Dakar Senegal.

  CAF imeamua kuteuwa Misri badala ya Afrika Kusini. Awali Cameroon ilitarajiwa kuwa mwenyeji wa michuano hiyo ambayo itajumuisha timu kwa mara ya kwanza timu 24 badala ya 16.

  Hata hivyo hali ya usalama nchini Misri bado suala linaloendelea kujadiliwa na viongozi wa CAF. Lakini viongozi wa Misri wamesema suala hilo litapatiwa ufumbuzi haraka iwezekanavyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako