• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wanariadha wanne wa Tanzania watambulika katika viwango vya kimataifa (IAAF Labels)

  (GMT+08:00) 2019-01-09 09:50:35
  Wanariadha wanne wa Tanzania wamefanikiwa kutambulika katika viwango vya kimataifa (iaaf Labels) vinavyotambuliwa na shirikisho la riadha la kimataifa (IAAF) kutokana na kufanya vizuri katika mashindano mbalimbali mwaka jana.

  Wanariadha hao ni Agustino Sulle ambaye ameingia katika 'Lebel' ya Dhahabu 'IAAF Gold Label' kwa mbio ndefu na fupi baada ya kufanya vema katika mbio za Toronto Marathon huko Canada Oktoba 21 mwaka jana akitumia saa 2:07.46 akishika nafasi ya pili.

  Mwanamke pekee Failuna Matanga lishinda mbio za Cape Town Afrika Kusini na kuingia label ya dhahabu ya IAAF.

  Kutokana na mafanikio hayo, Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), limewapongeza na kuwataka kuongeza bidii zaidi mwaka huu wa 2019.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako