• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kombe la FA-Liverpool yatupwa nje

  (GMT+08:00) 2019-01-09 09:52:02
  Klabu ya Liverpool ya Uingereza imeanza kutetereka baada ya kufungwa na klabu ya Wolverhampton Wanderers katika michuano ya FA ambayo ni michuano ya pili kwa ukubwa nchini Uingereza.

  Kufungwa huko kwa Liverpool kumeifanya kutolewa katika michuano hiyo kwa kipigo cha jumla ya goli 2-1 licha ya kuwa ugenini.

  Ikumbukwe kwamba Liverpool sasa hivi inashiriki katika michuano miwili tu ikiwa michuano ya klabu bingwa barani Ulaya UEFA na Ligi kuu nchini kwa PL baada ya kutolewa kwenye michuano mingine inayofanyika hapo inayojulikana kama Carabao cup.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako