• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Wito wa Brexit bila masharti kufutwa baada ya waziri mkuu wa Uingereza kushindwa kwa kura bungeni

  (GMT+08:00) 2019-01-09 18:50:56

  Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Uingereza Jeremy Corbyn ametoa wito wa kufuta pendekezo la nchi hiyo kujitoa Umoja wa Ulaya bila masharti baada ya waziri mkuu wa Uingereza Theresa May kushindwa vibaya kwa kura katika bunge la nchi hiyo.

  Mbunge wa chama cha Labour Yvette Cooper aliwasilisha marekebisho kwa muswada muhimu wa fedha wa serikali ambao unaelekeza hatua za ushuru wakati Uingereza itajitoa kwenye Umoja wa Ulaya Machi 29 mwaka huu, na kuungwa mkono na wabunge 303.

  Bw. Corbyn amesema matokeo hayo ni hatua muhimu katika kuzuia Uingereza kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya bila masharti.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako