• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Marekani yaweka vikwazo dhidi ya watu na makampuni ya Venezuela

  (GMT+08:00) 2019-01-09 18:54:44

  Wizara ya fedha ya Marekani imetangaza kuweka vikwazo dhidi ya watu saba na kampuni 23 za Venezuela.

  Taarifa iliyotolewa na wizara hiyo imesema, watu na kampuni hizo wamefanya ufisadi kupitia biashara ya fedha za kigeni ya serikali ya Venezuela, na fedha zinazohusika zimezidi dola za Marekani bilioni 2.4.

  Kwa upande wake, serikali ya Venezuela imesema, kitendo hicho cha Marekani ambacho hakina uthibitisho wowote ni kitendo cha upande mmoja, na kuomba Umoja wa Mataifa kuunda tume maalum kuchunguza vikwazo hivyo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako