• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uwekezaji Rwanda wafika $2bn katika mwaka 2018

    (GMT+08:00) 2019-01-09 20:03:09
    Uwekezaji wa jumla nchini Rwanda 2018 umekadiriwa kuwa wa thamani ya $2.006B na kupita malengo yaliyowekwa ya $2B.

    Huu ni ukuaji kutoka $1.675B ulioandikishwa mwaka 2017 na $1.16B ulioandikishwa 2016.

    Takwimu kutoka Bodi ya Maendeleo ya Rwanda zinaonyesha kuwa sekta za viwanda,madini,kilimo ziliandikisha uwekezaji mkubwa.

    Mwaka 2018 kiwango kikubwa cha uwekezaji kilitoka kwa wawekezaji wa ndani tofauti na miaka ya nyuma wakati ambapo uwekezaji wa moja kwa moja wa kigeni uliongoza.

    Asilimia 49 ya uwekezaji wa jumla ulikuwa wa ndani na asilimia 47 ulikuwa wa kigeni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako