• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ripoti inaonyesha kuwa utakatishaji fedha,rushwa vinarudisha nyuma ndoto ya Uganda kuwa nchi ya uchumi wa kati

    (GMT+08:00) 2019-01-09 20:03:31
    Juhudi za Uganda za kufikia hadhi ya uchumi wa kati zinaendelea kudhoofishwa na rushwa,kutokulipa ushuru,na utakatishaji wa fedha.

    Haya ni kwa mujibu wa Ripoti mpya iliyopewa jina la :Utafiti wa mtiririko usiofaa Uganda" uliofanywa na Shirika la Kimataifa la Uaminifu wa Kifedha kwa ushirikiano na Kituo cha Utafiti wa Sera (EPRC) na Chama cha Mawakili Wanawake Uganda (FIDA).

    Ripoti hiyo aidha imetoa onyo kuhusu utegemezi wa madeni ya kigeni,ambayo hivi sasa yamefika $10.7b.

    Ripoti hiyo inasema kuwa ili nchi iweze kufikia hadhi ya uchumi wa kati lazima iweze kufadhili bajeti yake kutokana na fedha zilizopatikana nchini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako