• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na Marekani zafanya mazungumzo kuhusu masuala ya uchumi na biashara mjini Beijing

    (GMT+08:00) 2019-01-10 09:39:45

    Habari kutoka wizara ya biashara ya China zinasema kuanzia tarehe 7 hadi 9 mwezi huu China na Marekani zimefanya mazungumzo ya ngazi ya naibu mawaziri kuhusu masuala ya uchumi na biashara mjini Beijing.

    Pande zote mbili zimetekeleza kivitendo makubaliano muhimu yaliyofikiwa na viongozi wa nchi hizo mbili, na kuwasiliana kwa kina na kwa makini kuhusu masuala ya biashara na ya kimuundo kati ya nchi mbili. Pande zote mbili zimezidisha maelewano na kuweka msingi wa kutatua masuala yanayofuatiliwa na nchi zao, na zimekubali kuendelea kudumisha mawasiliano ya karibu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako