• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • KIKAPU: Raptors kuwania saini ya mchezaji wa zamani wa Warrior na Cavalier

  (GMT+08:00) 2019-01-10 10:37:42

  Uongozi wa klabu ya mpira wa kikapu ya Toronto Raptors umekubali kumsajili kwa mkataba wa mwaka mmoja mchezaji wa zamani wa Cleveland Cavaliers na Golden State Warriors, Patrick McCaw.

  Raptors inakusudia kumsajili McCaw kwa kitita cha dola za Marekani 786,000.

  Uongozi wa Cavaliers umebainisha kuwa mchezaji huyo yuko huru kuchezea timu yoyote kwakuwa mkataba wake umeisha. Usajili wa kinda huyo umekuwa ukitolewa macho na timu mbalimbali zinazoshiriki ligi kuu ya mpira wa kikapu nchini Marekani –NBA.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako