• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Simba SC yahofia usalama DR Congo

  (GMT+08:00) 2019-01-10 10:38:02

  Afisa mtendaji mkuu wa klabu ya Simba ya Tanzania Crescentius Magori amesema wanapanga kuliandikia barua shirikisho la soka Tanzania (TFF) iliombe shirikisho la soka barani Afrika (CAF) kuwahakikishia usalama wao watakapokuwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kucheza na AS Vita mnamo Januari 19 mwaka huu.

  Simba itacheza na AS Vita baada ya mechi yake na JS Saouta jumamosi januari 12 uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam kabla ya kwenda Kinshasa DRC kwa mchezo huo wa pili hatua ya makundi kombe la Klabu bingwa Afrika.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako