• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ukraine kutuma wanajeshi kushiriki kwenye operesheni za kulinda amani za Umoja wa Mataifa nchini Mali

  (GMT+08:00) 2019-01-10 14:47:13

  Rais Petro Proshenko wa Ukraine amesaini amri ya kutuma maofisa 20 wa jeshi kushiriki kwenye operesheni za kulinda amani za Umoja wa Mataifa nchini Mali. Tangu mwaka 1992, wanajeshi elfu 44 wa Ukraine wameshiriki kwenye operesheni 26 kama hizo za kimataifa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako