• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Hali mbaya ya majira ya baridi yasababisha mafuriko na dhoruba Ujerumani

  (GMT+08:00) 2019-01-10 14:47:32

  Hali mbaya ya majira ya baridi imesababisha mafuriko katika maeneo ya kaskazini mwa Ujerumani na pia theluji kubwa na matatizo ya usafiri katika maeneo ya kusini mwa nchi hiyo. Dhoruba ya theluji imesababisha barabara kufungwa na usafiri kukatwa katika mji mmoja, na mamlaka za Ujerumani zinatarajia barabara nyingine zaidi kufungwa kwa ajili ya usalama. Shule nyingi zitaendelea kufungwa kwa wiki kadhaa zijazo.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako