• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Abbas kukutana na katibu mkuu wa UM

  (GMT+08:00) 2019-01-10 14:47:54

  Rais Mahmoud Abbas wa Palestina anatarajia kukutana na katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres mjini New York hivi karibuni. Mwakilishi wa kudumu wa Palestina kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Reyad Mansour amesema rais Abbas atajadiliana na Bw. Guterres kuhusu masuala mbalimbali ukiwemo utekelezaji wa Azimio Nambari 2334 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, ambalo linazitambua shughuli za ujenzi wa makazi ya Israel katika ardhi za Palestina kuwa ni za haramu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako