• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ikulu ya Russia yasema haina taarifa kuhusu mpango wa kubadilishana jasusi wa Marekani na wakala wa Russia

  (GMT+08:00) 2019-01-10 14:48:19
   

  Msemaji wa Ikulu ya rais wa Russia Dmitry Peskov amesema hana taarifa kuhusu mpango wa kubadilishana anayetuhumiwa kuwa jasusi wa Marekani Bw. Paul Whelan na wakala wa Russia Bibi Maria Butina anayeshikiliwa nchini Marekani. Lakini ameeleza kuwa Russia haiwatumii watu kama "karata" kwenye mchezo wa kidiplomasia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako