• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yapenda kusukuma mbele uhusiano na Korea Kaskazini

  (GMT+08:00) 2019-01-10 19:15:13
  Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Lu Kang amesema, China inapenda kudumisha mawasiliano ya ngazi ya juu na ya kimkakati na Korea Kaskazini.

  Bw. Lu pia amesema, huu ni mwaka wa 70 tangu nchi hizo mbili zianzishe uhusiano wa kidiplomasia, na China inapenda kuimarisha ushirikiano wa kirafiki na Korea Kaskazini, kuhimiza uhusiano kati yao upate maendeleo katika kipindi kipya, na kusukuma mbele mchakato wa utatuzi wa suala la nyuklia la peninsula ya Korea ili kutoa mchango kwa ajili ya amani, utulivu, ustawi na maendeleo ya dunia.

  Habari zinasema, rais wa Korea Kaskazini Bw. Kim Jong-un amemaliza ziara yake nchini China.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako