• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Uganda: Mradi wa kawi ya jua wazinduliwa Uganda

  (GMT+08:00) 2019-01-10 19:57:22

  Rais Yoweri Museveni wa Uganda amefungua mradi uliokamilika wa kawi ya jua katika wilaya ya Gomba huku nchi hiyo ikiendelea kutafuta njia endelevu za kujitosheleza na kawi.

  Mradi huo wa majaribio utazalisha megawati 20 za kawi.

  Baadaye serikali inalenga kuzalisha hadi megawati 150 za kawi ya jua kwa gharama ya dola milioni 200.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako