• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Wapiga picha wa China wakuza utalii Rwanda

    (GMT+08:00) 2019-01-10 19:45:20
    Wapiga picha maarufu wa China wako nchini Rwanda kushirikiana na wenzao nchini humo ili kukuza utalii.

    Wakiwa nchini humo watashiriki kwenye shidano la upigaji picha kwenye vivutio vya utalii ambazo baadaye zitasambazwa kwenye mitandao mbalimbali ya China.

    Hafla hiyo imeandaliwa na ubalozi wa Rwanda nchini China kwa msaada wa serikali ya China.

    Kila mmoja wa wapiga picha hao wa China wana wafuatiliaji zaidi ya milioni 1.5 kwenye akauti zao za mitandap ya kijamii.

    Pia picha na video watatazoandaa zitawekwa kwenye mitandao maarufu ya kitalii kama vile fliggy na Ctrip.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako