• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ukuaji wa uchumi wa dunia kupungua hadi asilimia 2.8

  (GMT+08:00) 2019-01-10 19:46:00
  Benki ya dunia imetabiri that ukuaji wa uchumi duniani utapungua hadi asilimia 2.9 kutoka matarajio ya awali ya asilimia 3.

  Ripoti ya benki hiyo inasema kuwa ukuaji wa kati ya sasa na mwaka 2020 unatarajiwa kufikia asilimia 2.8 tu.

  Hata hivyo benki hiyo inasema uchumi wan chi zinazoibuka hatakua zaidi lakini utasalia kama ulivyo mwaka huu wa 1019.

  Ripoti hiyo imedokeza kuwa upungufu huo wa ukuaji umechangiwa na mzozo wa kibibiashara kati ya China na Marekani na kuongezeka kwa deni miongoni mwa nchi zinazoendelea.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako