• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ethiopia na Eritrea zafugua upya mpaka

  (GMT+08:00) 2019-01-10 19:46:17
  Ethiopia na Eritrea zimefugua mpaka wa eneo la Oumhajir-Humera ili kusadia ukuaji wa biashara kati ya nchi hizo mbili.

  Waziri mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed na Rais wa Eritrea Isaias Afwerki wameshiriki pamoja ufunguzi wa mpaka huo.

  Ufunguaji upya wa mpka huo ambao ulifungwa miaka ishirini iliopita kufuatia mzozo wan chi hizo ni hatua mpya ya kuendelea kurejesha uhusiano kati ya Asmara na Addis Ababa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako