• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kenya: Shillingi ya Kenya yaimarika dhidi ya dola

  (GMT+08:00) 2019-01-10 19:46:59
  Shillingi ya Kenya imeimarika dhidi ya dola ya kimarekani ikiwa sasa inabadilishwa kwa shilingi 101 dhidi ya dola moja.

  Benki za kibiashara zinasema shilingi imeiarika kwa senti 35 kutoka ijumaa iliopita ilipobadilishwa kwa shilingi 102.20 dhidi ya dola.

  Wafanyabiashara wanasema mauzo ya nje ya bidhaa za kilimo na pesa zinazotumwa kutoka nje ya nchi zimesaidia kuimarika kwa shilingi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako