• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Afrika Kusini yadai Misri ilipendelewa kuandaa AFCON

  (GMT+08:00) 2019-01-11 09:30:43

  Baada ya shirikisho la soka Afrika (CAF) kuinyang'anya Afrika Kusini uandaaji wa fainali za michuano ya klabu bingwa Afrika mwaka huu, Shirikisho la soka la Afrika Kusini (SAFA) limelalamikia vikali namna mchakato mzima wa uteuzi wa nchi kuandaa michuano hiyo.

  Afisa mkuu wa shirikisho hilo, Russell Paul ameshutumu shirikisho la soka barani Afrika (CAF) kwa kuendesha mchakato huo kibaguzi na kwa njia isiyo wazi.

  Hata hivyo, afisa huyo alijinaki kwamba hakuna nchi inayojivunia miundombinu bora ya kuiwezesha kuandaa fainali hizo kama Afrika Kusini.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako