• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Batshuayi ashindwa kuwika La Liga, arejeshwa Chelsea FC

  (GMT+08:00) 2019-01-11 09:31:16

  Klabu ya Valencia imetangaza kusitisha dili la mkopo la mshambuliaji Michy Batshuayi. Mshambuliaji huyo wa Ubelgiji aliyechezea pia Borussia Dotmund kwa mkopo msimu uliopita, ameshindwa kutamba nchini Uhispania tangu atue La Liga.

  Valencia imeamua kumrejesha katika klabu yake ya Chelsea ya Uingereza. Katika mechi 15 za La Liga, Batshuayi amefunga goli moja tu. Mkurugenzi wa michezo wa klabu hiyo Mateu Alemany amezungumza na waandishi wa habari na kueleza kuwa mchezaji huyo na klabu yake ya zamani tayari wana taarifa ya kuachwa kwake.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako