• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Kombe la Mfalme, Madrid, Sevilla na Levante zapeta

  (GMT+08:00) 2019-01-11 09:31:33

  Michezo ya robo fainali ya kwanza ya kombe la Mfalme zimepigwa huku Real Madrid ikiibuka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya Leganes katika mchezo uliochezwa uwanja wa Santiago Bernabeu. mabao ya Real Madrid yamefungwa na Sergio Ramos, Lucas Vazquez na Viniscus Junior.

  Nayo Athletic Bibao imekubali kipigo cha goli 3-1 toka kwa Sevilla, huku Real Sociedad ikilazimishwa sare ya kutofungana na Real Betis. Nayo Levante imeichapa Barcelona 2-1.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako