• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ushirikiano wa China watajwa kuhimiza maendeleo ya Ethiopia

  (GMT+08:00) 2019-01-11 09:36:05

  Mtaalamu wa Ethiopia amesema ushirikiano na China umechochea maendeleo ya Ethiopia kupitia kuhimiza ujenzi wa uwezo wa nchi hiyo.

  Bw. Constantinos Bt. Constantinos ambaye amewahi kuwa mshauri wa uchumi kwa Umoja wa Afrika na Kamisheni ya uchumi wa Afrika ya Umoja wa Mataifa ECA, amesema Ethiopia imenufaika na uwekezaji, misaada na mikopo kutoka China .

  Kwa mujibu wa mtaalamu huyo, uhusiano wa kiwenzi na China, pia umeisaidia Ethiopia kujenga barabara zenye urefu wa kilomita 74,000, reli ya kisasa, vituo vya kuzalisha umeme kwa nguvu ya maji, njia za kusafirisha umeme, na maeneo ya viwanda.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako