• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Bibi Merkel atoa wito kwa Ulaya kushirikiana

  (GMT+08:00) 2019-01-11 10:48:13

  Chansela wa Ujerumani Bibi Angela Merkel amesema roho ya Ulaya imeimarishwa kupitia juhudi za kukabiliana na changamoto za pamoja na Ulaya itakuwa na mustakbali mzuri kwa njia ya ushirikiano badala ya utaifa. Kwenye taarifa ya pamoja kwa vyombo vya habari na waziri mkuu wa Ugiriki Bw. Alexis Tsipras, Bibi Merkel pia ameipongeza Ugiriki kwa maendeleo yake licha ya changamoto za miaka ya hivi karibuni zinazotokana na msukosuko wa madeni kama vile makubaliano ya kihistoria yaliyofikiwa majira ya joto mwaka jana kuhusu utatuzi wa mgogoro wa jina la Macedonia.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako