• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Benki ya Dunia yatangaza mchakato wa uteuzi wa mkuu mpya

  (GMT+08:00) 2019-01-11 10:48:41

  Benki ya Dunia imetangaza mchakato wa uteuzi wa mkuu mpya atakayechukua nafasi ya Bw. Jim Yong Kim, aliyetangaza ghafla kujiuzulu. Bodi ya wakurugenzi watendaji ya Benki ya Dunia imesema mchakato wa uteuzi utakuwa wazi na wa haki, na wagombea wanapaswa kukidhi matakwa kadhaa muhimu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako