• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Trump afuta safari ya Davos kutokana na serikali kuendelea kufungwa

  (GMT+08:00) 2019-01-11 10:49:13

  Rais Donald Trump wa Marekani ametangaza kufuta safari ya kwenda Davos, Uswisi iliyopangwa baadaye mwezi huu kuhudhuria Kongamano la Uchumi Duniani, kama baadhi ya idara za serikali zinaendelea kufungwa. Rais Trump amekwama kwenye mzozo na wabunge wa chama cha Democrat kutokana na madai ya dola za kimarekani zaidi ya bilioni 5 za ujenzi wa ukuta wa mpaka kati ya Marekani na Mexico.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako